To read in Swahili

Who we are homepage

Our Mission

“To prevent and relieve sickness and injury and to act to enhance the health and well-being of people across Tanzania”

Our history

St John Ambulance was started in Tanzania in the 1950s. Initially St John was run by the government, with many of the Council members being government ministers.

Later, the organisation was handed over to the East African Railway & Harbours Administration – with every trainee of the railway training school being taught First Aid by St John members. The activities of St John therefore followed the railway lines across the length and breadth of the country.

Between 2003 and 2007 Tanzania was embarking on a process of privatisation, and an Indian company won the right from the government to operate passenger and freight services on a 25 year concession. During this process, St John members who were part of the former railway service were dispersed around the country and First Aid became less of a priority for the new organisation. St John Ambulance had to find a new direction and start from the beginning again.

With some dedicated staff and volunteers, today St John Ambulance is seeking to train businesses in First Aid well as within the community. We have a strategic plan which details our priorities for 2009-2011.

Sisi ni akina nani

Lengo letu

“Kuzuia na kupunguza maumivu wakati wa ugonjwa na ajali na kuongeza afya na hali nzuri kwa watanzania wote walipo.”

Historia yetu

St John Ambulance ilianzishwa Tanzania (wakati uo Tanganyika) katika miaka ya 1950s. Mwanzo St John ilikuwa inaendeshwa kama chombo cha serikali, na wajumbe katika mkutano mkuu wa St John walikuwa mawaziri wa serikali. Baadae St John ilikabidhiwa kwa Shirika la Reli la Afrika Mashariki (East African Railways and Harbours Administration ambako huduma hii ilikuwa muhimu sana kutokana na mazingira ya kazi za Reli– kwa kuwafundisha waajiriwa wote wa Reli waliopitia katika shule maalumu za Reli zilikuwa Nairobi, Kenya na Tabora, Tanganyika (Now Tanzania). Hivyo shughuli zote za St John zilifuata mkondo au mfumo wa njia ya Reli kila mahali nchini kote.

Katika ya miaka ya 2003 na 2007 Tanzania walinzisha mchakato wa kubinafsisha mashirika yote na Kampuni kutoka India ilishinda zabuni ya kuendesha Shirika la Reli kwa kusafirisha abiria na mizigo kwa kipindi cha miaka 25. Kutokana na mchakato huo wanachama wa St John ambao walikuwa katika Shirika la Reli walisambaa nchi nzima baada ya kustafishwa na huduma za St John zikawa si muhimu kwa watawala wapya wa Reli. St John Ambulance imeanza mwelekeo mpya na kuanza tena kwa upya.

Kutokana na wanachama wenye moyo na kujitolea kwa bidii, leo St John imeanza kufundisha tena Huduma ya Kwanza kwa makampuni ya kibiashara na kwa jamii ya watanzania. Tuna mpango makakati ambao unaainisha kipaombele chetu kuanzia mwaka 2009 hadi 2011.