Where we work page
St John Tanzania is based in Dar es Salaam at the International Trade Fair Ground, off Kilwa Road.
The majority of our services are based in the capital but our experienced trainers can travel across the country to teach our First Aid programme. All you have to do is ask and we can give you a quote!
Our Schools Programme and community support is based in Dar es Salaam.
Mahali tunapofanyia kazi
St John Tanzania ina makao makuu jijini Dar Es Salaam katika viwanja vya maonyesho ya biashara ya kimataifa vilivyopo barabara ya Kilwa.
Kazi zetu nyingi zinatendeka Jijini Dar Es Salaam, lakini wakufunzi wetu wenye ujuzi wanaweza kutembea nchi nzima kwa ajili ya mipango ya mafunzo ya Huduma ya Kwanza. Unalotakiwa kufanya ni kuuliza na utapatiwa mpango mzima na gharama zake!
Mpango wetu wa Huduma ya Kwanza mashule na misaada kwa uma inafanyika sana jijini Dar Es Salaam.
