Volunteer service
Do you want to do something for your community? Why not become a member of St John and volunteer for us each month.
We will teach you first aid for free and you can then help us at sporting events and festivals – giving first aid and care to people who get injured.
Join us today! Email stjohnassotz@yahoo.com or telephone +255222850834
Kazi za kujitolea
Unahitaji kufanya jambo kwa ajili ya jamii yako? Kwa nini usijiunge na St John ili uweze kujitolea pamoja nasi mara moja kwa kila mwezi.
Tutakufundisha Huduma ya Kwanza bure ili uweze kutusaidia wakati wa matukio mbali mbali na maonyesho – kutoa Huduma ya Kwanza na kusaidia watu ambao wamepata majeraha.
Jiunge nasi leo!!! Tutumie Barua pepe stjohnassotz@yahoo.com au simu nambari +255222850834
