What we do homepage
St John offers a variety of services to people of Tanzania. Much of our work is promoting the need for people to have knowledge of First Aid and running training courses.
Click on the links below to find out more about our work
Tunafanya nini
St John Ambulance inatoa aina mbali mbali za Huduma kwa watanzania na wageni wetu. Kazi yetu kubwa ni kutangazia uma wa watanzania kujua Huduma ya Kwanza na kutayarisha mipango ya mafunzo.
Chagua katika moja wapo ya mipango yetu hapo chini ili kupata taarifa zaidi.
- Mafunzo ya Huduma ya Kwanza
- Mpango wa St John kwa ajili ya mashule
- Kufanya kazi katika jumuia ya watu
- Huduma za kujitolea katika St John
