St John Ambulance Tanzania has a new home!
Posted: 20-07-2009
St John Ambulance Tanzania has moved office. We are now based at the Dar es Salaam International Trade Fair Ground, off Kilwa Road. We have expanded our office and we will soon have our own training room.
Our First Aid trainers have been providing free First Aid demonstrations to the public and displaying our training equipment during the 2009 Trade Fair. The event has been very successful and we would like to thank all those who came to visit us.
St John Ambulance Tanzania imepata makao mapya!
St John Ambulance Tanzania tumehamia ofisi mpya. Sasa tuko katika Viwanja vya maonyesho ya biashara ya kimataifa ya Mwalimu J.K Nyerere Dar Es Salaam Barabara ya Kilwa banda nambari 24B. Tumepanua ofisi yetu na muda si mrefu tunatazamia kuanza madarasa ya Huduma ya Kwanza.
Wakufunzi wetu wa Huduma ya Kwanza wanaonyesha bure jinsi ya kutoa Huduma kwa jamii na kuonyesha vifaa vyetu vya kufundishia kwa mwaka huu wa 2009 katika maonyesho hayo. Tukio hili limekuwa na mafanikio na tunawashukuru sana wote waliotutembelea. Karibuni tena kwenye huduma zote.
Admin
to previous page or view archives
***
