To read in Swahili

Welcome to St John Ambulance Tanzania!

Learn First Aid – Know First Aid

St John Ambulance Tanzania is a charitable organisation which aims to equip people across Tanzania with the much-needed knowledge and skills on how to save a life. Our desire is to make all Tanzanians useful at the scene of accident or injury. Anyone can save a life!

Our volunteers are also working within vulnerable communities, helping them to support themselves and generate income.

Please click on the different sections to find out more about St John Tanzania and how you can get involved.

Support us  

How you can get involved?

  • Come on a First Aid course
  • Become a St John volunteer
  • Enrol your school in the Schools Programme
  • Send us a donation

 

Unakaribishwa St John Ambulance Tanzania!

Jifunze Huduma ya Kwanza – Ijue Huduma ya Kwanza

St John Ambulance Tanzania ni chama cha kujitolea ambacho kinalenga katika kuwapatia wananchi wa Tanzania ujuzi unaohitajika sana na maarifa ya jinsi ya kuokoa maisha. Lengo letu ni kuwafanya watanzania wote kuwa watu muhimu wakati ajali ikitokea au wakati wa ugonjwa wa ghafla kwa kila mmoja wetu anaweza kuokoa maisha!!!!

Wanachama wetu wakujitolea wanafanya kazi katikati ya jamii ya watu wasiojiweza au walio katika mazingira magumu, wakiwasaidia kwa njia mbali mbali ambazo zinaweza kuwapatia kipato.

Tafadhali bonyeza hapa kujua vitengo mbali mbali vya St John Tanzania na jinsi gani unaweza kujiunga na kuwa mmoja wao.

Tusaidie
 
Unawezaje kujiunga na mpango huu?

  • Njoo ujiunge na darasa la Huduma ya Kwanza.
  • Jiunge uwe mwanachama wa kujitolea.
  • Andikisha shule yako katika mpango wa Huduma ya Kwanza katika mashule.
  • Tutumie mchango wako wa hali na mali.